WAZIRI KAIRUKI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewahakikishia wafanyabiashara na Wawekezaji kuwa Serikali itaendelea kuwawekea mazingira mazuri ya Uwekezaji nchini.
  • Pia, Amesema Serikali imejipanga kuboresha mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kwa kuwekeza katika sekta mbalimbali zenye tija katika kuliingizia pato taifa.
1-01
Mshauri mwelekezi wa Shamba la Utunge Bw. Uwesu Msumi akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki eneo la shamba hilo lenye ukubwa wa hekari 300 wanalotumia kulima mpunga, vitunguu na mahindi pamoja na ufugaji wa samaki lililopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani alipolitembelea kukagua eneo hilo.
  • Ameyasema hayo hivi karibu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku 6 katika Wilaya 6 za mkoa wa Pwani ikiwemo; Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Mafia na Rufiji pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.
  • Akieleza lengo la ziara hiyo Mhe.Kairuki amesema mkoa wa Pwani ni miongoni mwa mikoa yenye uwekezaji mkubwa katika sekta mbalimbali; Uvuvi, kilimo na ufugaji na amefanya  ziara hiyo ili kujionea mazingira  pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
2-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki pamoja na timu aliyoongozana nayo katika ziara yake wakiangalia namna ya ufugaji wa samaki wa kisasa katika shamba la samaki la Utunge lililopo Rufiji mkoa wa Pwani, anayetoa maelezo ni Meneja wa samaki wa shamba hilo Bw. Abdallah Mtutuma.
  • Akitoa majumuisho ya ziara hiyo Mhe. Kairuki amezitaja changamoto zilizojitokeza katika maeneo mengi aliyotembelea kuwa ni ukosefu wa maji ya kutosha, ubovu wa barabara, ucheleweshwaji wa vibali vya kazi, kukosa umeme wa uhakika na utitiri wa tozo.
  • Mbali ya changamoto hizo, Mhe. Kairuki ametaja vikwazo vingine kuwa ni kutotengwa kwa maeneo ya uwekezaji, Taasisi wezeshi kutokuwa karibu na wawekezaji, ukosefu wa mitaji ya uhakika na utoaji wa adhabu zisizo za lazima.
3-01
Mshauri mwelekezi wa Shamba la Utunge Bw. Uwesu Msumi akitoa maelezo ya uwekezaji wake kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea shamba hilo lililopo katika Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani mara baada ya kuwasili shambani hapo.
  • Ameongeza kuwa uelewa mdogo wa wawekezaji katika kujiunga na Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) ni moja ya  changamoto na kuwataka  wawekezaji kwa hiari yao waone umuhimu wa kujiandikisha katika kituo hicho ili kutumia fursa zinazopatikana.
  • “Wawekezaji tunawakaribisha TIC ili mjue fursa ziliopo nchini zaidi na kuona namna mnavyoweza kunufaika na kituo hiki,”alisisitiza Waziri Kairuki.
4-01
Mshauri mwelekezi wa Shamba la Utunge Bw. Uwesu Msumi akiwasilisha taarifa ya shamba hilo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea katika Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani kukagua mazingira ya wawekezaji nchini.
  • Ameongoza kuwa, ipo haja ya kila Halmashauri kuendelea kutenga maeneo ya uwekezaji ili kutoa fursa zaidi kwa watu kuwekeza na kuhakikisha miundombinu muhimu inakuwepo.
  • “Natoa rai kwa kila Halmashauri kuhakikisha kila kijiji kinatenga walau heka 20 za maeneo ya uwekezaji na kuwasilisha taarifa zao TIC” alisema Waziri.
  • Aidha, Waziri Kairuki amewataka wawekezaji kuzingatia sheria na taratibu za uwekezaji nchini ili waweze kunufaika na mitaji yao waliyowekeza.
5-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki pamoja na timu yake wakiwa katika shamba la Utunge lililopo katika eneo la Rufiji mkoa wa Pwani, wakati wa ziara yake.
  • “Endeleeni kuwekeza pasipo kuvunja sheria na kanuni zilizopo ikiwa ni kulipa kodi au kulipa vibali mbalimbali mfanye hivyo tena kwa wakati ili isitokee mmewekeza kwa mitaji mikubwa halafu ikawa kwa hasara,”alisisitiza Waziri Kairuki
  • Aliwahakikishia wawekezaji kuwa, Serikali ya Awamu ya Tano, inatambua mchango wao na imedhamiria kuhakikisha inaboresha miundombinu muhimu ikiwemo uwepo wa nishati ya umeme ya uhakika, barabara bora, upatikanaji wa maji safi, kuboresha mifumo ya mawasilino na upatikanaji wa huduma bora za mamlaka zinazosimamia masuala yanayohusu uwekezaji nchini.
7-01
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Njwayo akiwasilisha taarifa ya wilaya yake kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea katika Shamba la Utunge lililopo kijiji cha Utunge Wilayani humo ili kukagua maeneo ya uwekezaji na kusikiliza changamoto zao.

AWALI

  • Waziri Kairuki alifanya ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Pwani kwa siku 6 na kuzitembelea  Wilaya 6 ambapo jumla ya viwanda 22 alivifikia ikiwemo; Kiwanda cha KEDS, EUROPLASTIC, Samaki investment, KAMAL LTD, Hiill Packaging Company, Tan Choice, Global Packaging Ltd, Hester Bioscience Africa ltd, Chilambo Investment, Sabai Cash nut Processing, SHAFA Investment, Everwell Cable, Ice Drop ltd, Lodhia Group ltd, Waja Mabati na Waja General, Abajuko Enterprises, Tanpesca na kiwanda cha maziwa cha Mather Dairies. Aidha alipata fursa ya kutembelea mashamba ya uwekezaji mbalimbali pamoja na Shamba la Utunge, Sah janand, shamba la Utamaduni, Kigomani na shamba la kuku la AKM.
8-01
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mwenye t-shirt ya pink) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shamba la Utunge pamoja na timu aliyoambatana nayo katika ziara yake, mara baada ya kutembelea maeneo ya uwekezaji huo. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
  • Wawekezaji wa maeneo hayo walipata fursa za kueleza changamoto wanazokabiliana nazo pamoja na mapendekezo kwa Serikali ya namna bora ya kuendelea kuwa na ushirikiano ili kufikia dhamira ya Serikali ya kuwa na Tanzania ya Viwanda.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA BETRI CHAKAVU CHA HUATAN

46 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Your site visitors, especially me appreciate the time and effort you have spent to put this information together. Here is my website Webemail24 for something more enlightening posts about Search Engine Optimization.

  3. Latest news about games for Android https://android-games.com.az, reviews and daily updates. Read now and get the latest information on the most exciting games

  4. Great!!! Thank you for sharing this details. If you need some information about Data Mining than have a look here Seoranko

  5. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  6. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  7. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  8. Muhammad Ali https://muhammad-ali.com.az American professional boxer who competed in the heavy weight category; one of the most famous boxers in the history of world boxing.

  9. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  10. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  11. Latest news and information about the NBA https://basketball-kz.kz in Kazakhstan. Hot stories, player transfers and highlights. Watch the NBA world with us.

  12. UFC news https://ufc-ar.com, schedule of fights and tournaments 2024, ratings of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics, forums and fan blogs.

  13. The most important sports news https://bein-sport-egypt.com, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading leagues.

  14. News and events of the American Basketball League https://basketball-eg.com in Egypt. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  15. The path of 21-year-old Jude Bellingham https://realmadrid.jude-bellingham-cz.com from young talent to one of the most promising players in the world, reaching new heights with Dortmund and England.

  16. The site is dedicated to football https://fooball-egypt.com, football history and news. Latest news and fresh reviews of the world of football

  17. The fascinating story of Antonio Rudiger’s transfer https://real-madrid.antonio-rudiger-cz.com to Real Madrid and his rapid rise as a key player at one of the best clubs in the world.

  18. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  19. The latest analysis, reviews of https://spider-man-ar.com tournaments and the most interesting things from the “Spider-Man” series of games in Azerbaijani language. It’s all here!

  20. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  21. Latest boxing news, achievements of Raisol Abbasov https://boxing-ar.com, Tyson Fury fights and much more. It’s all about the boxing ambassador.

  22. Discover the wonderful world of online games https://onlayn-oyinlar.com with GameHub. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  23. Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.

  24. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  25. Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.

  26. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  27. Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.

  28. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  29. The inspiring story of Travis Scott’s https://yeezus.travis-scott-fr.com rise from emerging artist to one of modern hip-hop’s brightest stars through his collaboration with Kanye West.

  30. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  31. The incredible success story of 20-year-old Florian Wirtz https://bayer-04.florianwirtz-br.com, who quickly joined the Bayer team and became one of the best young talents in the world.

  32. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  33. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  34. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  35. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  36. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  37. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  38. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  39. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  40. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  41. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  42. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  43. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  44. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  45. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *