Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Philemon Mateke pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Aziz P. Mlima katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebe. Makamu wa Rais pamoja na Naibu Waziri …
Soma zaidi »SERIKALI IMEIMARISHA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA MATUMIZI SALAMA YA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NCHINI.
Serikali ya Tanzania kupitia Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imefanikiwa kuimarisha usimamizi na udhibiti wa matumizi ya Teknolojia ya Nyuklia nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Tekenolojia Mheshimiwa William Ole Nasha wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kimataifa wa waratibu wa miradi ya Sayansi na …
Soma zaidi »SIMIYU KUPATA CHUPA MILIONI TATU ZA VIUDUDU KWA ZAO LA PAMBA
Mkoa wa Simiyu utapokea chupa milioni tatu za viuadudu katika msimu huu wa mwaka 2018/2019 lengo likiwa kukabiliana na changamoto ya wadudu waharibifu wa zao la hilo. Mkurugenzi Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omari Mgumba mkoani Simiyu …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ANAONDOKA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 UTAKAOFANYIKA KAMPALA – UGANDA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki kwenye Mkutano wa mwaka 2019 wa ‘Africa Now Summit’unaotarajiwa kufanyika tarehe12 na 13 Machi.Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Mkutano huo utafunguliwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambaye ndiye mwenyeji …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE CATCH UP : SHERRY PART IKULU JIJINI DSM. MACHI 08,2019
https://youtu.be/rvCu2hE3Isc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John pombe Magufuli ashiriki hafla maalum na Mabalozi wanaowaoziwakilisha Nchi Zao hapa Nchini na Viongozi wa Mashirika Mbalimbali .
Soma zaidi »RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame tarehe 08 Machi, 2019 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 2 hapa nchini Tanzania na kurejea nchini kwake, baada ya hapo jana kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA
WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA TBS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kujionea utendaji kazi wa shirika hilo. Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara hiyo jana Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki, Waziri wa Afya, Maendeleo ya …
Soma zaidi »TANZANIA INASHIKA NAMBA MOJA KWA KUWA NA SIMBA WENGI BARANI AFRIKA
Yapongeza juhudi za Serikali katika kukomesha ujangili Yazishauri nchi za Afrika kulinda na kuhifadhi wanyamapori AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika. Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania …
Soma zaidi »