Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya picha Rais Rwanda Paul Kagame Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya picha Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyango Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais Kagame amewasili nchini leo tarehe 7 machi ,2019 kwa ziara ya kikazi.