Ujenzi wa Gati jipya ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ukiendelea kupitia mradi mkubwa wa “DMGP”. Mpaka kukamilika kwake mradi huu utagharimu zaidi ya Dola Milioni 300 za Marekani. Mradi utahusisha ujenzi wa gati jipya na kuongeza kina cha maji kwenye Gati 1-7 kufikia mita 14.5
Soma zaidi »RAIS MSTAAFU JK AONGOZA KIKAO CHA KAZI NA SHIRIKISHO ZA KIUCHUMI AFRIKA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika nafasi yake ya mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council) jana aliendesha kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Africa. Katika Kikao hicho Mhe. Kikwete alielezea umuhimu wa kuwekeza nguvu za pamoja katika kuutokomeza ugonjwa …
Soma zaidi »TANZANIA NA KUWAIT ZAJADILI UDHIBITI WA MIPAKA
Serikali ya Tanzania na Nchi ya Kuwait ziko katika mpango maalumu wa kubadilishana uzoefu juu ya udhibiti wa mipaka ikiwa ni juhudi za Tanzania kuimarisha ulinzi katika mikoa yote nchini iliyopo mipakani Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa mazungumzo na …
Soma zaidi »WATALII 300 WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI
SERIKALI YA TANZANIA NA MISRI KUSAINIANA MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA YA PAMOJA
Serikali ya Tanzania na Misri zinatarajia kusainiana mkataba wa makubaliano wa kuanzisha mashamba makubwa ya pamoja kwa lengo la kuinua kilimo cha ngano, mpunga na pamba Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga mara baada ya kufanya mazungumzo na timu ya Wataalamu wa kilimo kutoka Misri wakiongozwa na Waziri …
Soma zaidi »SERIKALI YATENGA TRIL 3 KUMALIZA MIRADI YA MAJI MIJINI NA VIJIJINI
Serikali imetenga zaidi ya sh Tril. 3 kwa ajili ya miradi ya maji mijini na vijijini ili kuhakikisha tatizo la maji linamalizika kabisa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amesema hadi sasa miradi mikubwa 477 inatekelezwa vijijini huku …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU NCHINI, MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA ZIMBABWE
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MWENDOKASI AWAMU YA PILI KUANZA WIKI HII
RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA UNHCR
SERIKALI KUINUA ZAO LA KAHAWA NCHINI
Serikali imeamua kuanzisha minada ya kahawa kwenye maeneo ya uzalishaji kuanzia msimu wa 2019/2020 ili kuinua zao hilo la kimkakati nchini. Hayo yamesemwa Bungeni Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba wakati akijibu swali Mhe. Bernadeta Mushashu kuhusu mpango wa Serikali wa kuinua zao la kahawa Mkoani Kagera ikiwemo kupandisha …
Soma zaidi »