Tanzania MpyA+

SERIKALI KUPAMBANA KUMKOMBOA MWANANCHI MNYONGE – DKT. MAHIGA

Serikali itafanya kila lililo ndani ya uwezo wake ili kumkomboa mwananchi mnyonge ili kila mtu apate haki na kuwa sawa na mwingine na ashiriki kujenga uchumi wa viwanda. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amesema hayo alipokuwa akizungumza na wasajili wasaidizi wa watoa huduma ya msaada …

Soma zaidi »

SERIKALI YAONYA WATOAJI NA WAPOKEA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019

Serikali imeonya kuwa haitakuwa na msalie mtume na mtu,chama cha siasa ama kikundi chochote kitakachojihusisha na rushwa kabla,wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2019 pamoja na Uchaguzi mkuu wa 2020. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki …

Soma zaidi »

DKT. KIJAJI-MZUNGUKO WA FEDHA KATIKA SOKO UKO IMARA

Serikali imesema kuwa kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali ilizozichukua kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), alipokuwa akijibu swali la …

Soma zaidi »

JAJI MSTAAFU MARK BOMANI AWATAKA WATANZANIA KUCHANGIA FURSA KATIKA SEKTA YA MADINI

Mwanasheria mkuu wa kwanza Tanzania Jaji Mstaafu Mark Bomani amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya mabadiliko ya sheria katika sekta za maliasili na madini yaliyofanyika hivi karibuni,kutokana na sheria hizo kuweka mazingira ya usawa (win – win situation)tofauti na sheria zilizokuwepo awali kutoa kipaumbele kwa wawekezaji kutoka Nje ya nchi. Jaji …

Soma zaidi »