MSIMAMO WETU NI ULEULE KUHUSU MKATABA WA EPA – Prof. KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi ameongoza ujumbe wa Tanzania ulioshiriki mkutano wa pamoja wa 16 wa Mawaziri wa Biashara wa nchi za Afrika, Karibeani na Pasifiki (ACP) na Umoja wa Ulaya (EU) uliofanyika jijini Brussels nchini Ubelgiji Oktoba 26, 2018. Mbali na Mkutano huo, Mheshimiwa Profesa Kabudi alishiriki …
Soma zaidi »LIVE: Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mkoa wa Pwani ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKATAA KUZINDUA STENDI YA MAILI MOJA KIBAHA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailimoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada ya kufanya uchunguzi wiki mbili ama tatu zijazo atakwenda …
Soma zaidi »SHIRIKA LA NDEGE (ATCL) LIMEONDOLEWA VIKWAZO NA SHIRIKA LA IATA.
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeondolewa vikwazo ilivyokuwa imewekewa na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (IATA) na ICH kuanzia Oktoba 2018, baada ya kutimiza masharti. ATCL ilipoteza uanachama wake wa IATA mwaka 2008 kutoka na malimbikizo ya madeni.
Soma zaidi »HAKI ZOTE ZA FIDIA KWA WANANCHI ZITALIPWA – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali italipa fidia kwa wananchi katika maeneo ambayo miradi ya Serikali imepita. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Manerumango kwenye uwanja wa shule ya msingi Maneromango wilayani Kisarawe mkoani Pwani. “Nataka niwahakikishie wananchi wote kila kipande cha ardhi cha mtu …
Soma zaidi »VIJIJI PEMBEZONI MWA HIFADHI ZA TAIFA KUNUFAIKA NA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imeanza kazi ya uandaaji wa mipango ya matumizi ya ardhi katika Wilaya na vijiji vinavyozunguka hifadhi za Taifa za wanyamapori ili kulinda mipaka ya hifadhi za Taifa pamoja na kuondoa migogoro …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA PWANI
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo katika mkoa wa Pwani ambapo leo ametembelea Wilaya ya Mkuranga. Katika ziara yake wilayani Mkuranga Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha kutengeneza Gypsum (Gypsum Board) cha Knauf kilichopo Mwanambaya, akiwa kiwandani hapo Makamu wa …
Soma zaidi »WANAFUNZI 12 WA VYUO VIKUU KWENDA MAURITIUS KUJIFUNZA ELIMU YA MASOKO YA MITAJI
Wadau wamekuwa na mwamko katika sekta ya fedha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kutekeleza mikakati mbalimbali ya kisera kwa lengo la kuongeza uwelewa na kukuza uwekezaji kupitia masoko ya mitaji. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango ameyasema hayo wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa shindano …
Soma zaidi »