Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetajwa kuwezesha mageuzi yenye tija katika sekta ya afya katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano Akizungumza waandishi wa habari leo, Desemba 12, 2019 Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Bernard …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AZINDUA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS, AWEKA MKAKATI WA SOKO LA UHAKIKA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za ngozi, Wilaya hiyo imejipanga kuwatafutia maeneo wazalishaji wa ndani ambapo wote watakaa sehemu moja kwa ajili ya uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonesho …
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPATA TUZO YA UANDAAJI BORA WA HESABU ZA FEDHA KWA MWAKA 2018
TANZANIA YAZITAKA NCHI ZINAZOENDELEA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Tanzania imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za pamoja kushughulikia suala la mabadiliko ya tabianchi na athari zake. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima katika mkutano wa 25 wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja …
Soma zaidi »ACHENI KULALAMIKA, TENGENI FEDHA KULIPIA UMEME – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka baadhi ya wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri za wilaya ambao wamekuwa wakilalamika kuwa taasisi za umma katika maeneo yao hazina umeme, waachane na malalamiko, badala yake watenge fedha za kulipia huduma hiyo ili wapatiwe umeme. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti Desemba 11, 2019 …
Soma zaidi »LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI ANAFUNGUA SEMINA YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI MWANZA
JOSHUA NASSARI AONGOZA WAWEKEZAJI TOKA CHINA KUANGALIA FURSA TANZANIA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Joshua Nassari leo tarehe 11 Desemba,2019 ameongoza kundi la wafanyabiashara wapatao kumi kufika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Wageni hao wamefika kutoka jimbo la Hebei, China ambao wameonesha nia ya kuwekeza nchini kwenye miradi mbalimbali ya kuanzisha. Viwanda hivyo ni pamoja na kiwanda cha …
Soma zaidi »MWADUI WAPEWA MWEZI MMOJA KUUZA ALMASI SOKO LA NDANI
Uongozi wa Mgodi wa Diamond Williamson (Mwadui) unaozalisha madini ya Almasi uliopo mkoani Shinyanga wilayani Kishapu umeagizwa na kupewa muda wa mwezi mmoja hadi kufikia Januari 2020 kuanza kuuza 5% ya Almasi yote inayozalishwa katika mgodi huo kwenye soko la ndani hususani soko la Kishapu huku wazawa wakipewa fursa ya …
Soma zaidi »GWAJIMA ASISITIZA UZALENDO, MAPITIO YA SERA YA UGATUAJI WA MADARAKA
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya, OR-TAMISEMI Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wakurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara zote kutanguliza uzalendo katika kufanya mapitio ya Sera ya Kitaifa ya Ugatuaji wa Madaraka. Dkt. Gwajima ameyasema hayo mapema leo wakati wa kufungua kikao kazi cha Wakurugenzi wa Wizara zote wa Sera na …
Soma zaidi »TUNA VIFAA VYA UMEME VINGI VYA KUTOSHA – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika mikoa yote, kutowaambia wananchi kuwa kuna uhaba wa vifaa vya kuunganishia umeme kwani vilivyopo idadi yake ni kubwa kuliko matumizi ya nchi. Aliyasema hayo wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya …
Soma zaidi »