WAZIRI SIMBACHAWENE AIELEZEA YA KAMATI BUNGE MCHAKATO WA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo Agosti 27, 2019 imewasilisha taarifa zake mbili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma. Taarifa zilizowasilishwa ni ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yanayohusiana na majukumu ya Wizara yaliyotokana na Mapendekezo ya Kamati hiyo katika …
Soma zaidi »VIONGOZI WA VIJIJI NA HALMASHAURI WATAKIWA KUTENGA FEDHA ZA KUUNGANISHA UMEME
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaagiza viongozi wa Serikali za Vijiji na Halmashauri kote nchini, kutenga fedha kwa ajili ya kulipia gharama za kuunganisha umeme kwenye Taasisi za Umma na hivyo kuboresha huduma za kijamii katika maeneo yao. Alitoa agizo hilo Agosti 26, 2019, akiwa katika Kijiji cha Mkinga …
Soma zaidi »WIZARA YA ELIMU YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA UJENZI WA SHULE YA SISTER MARY
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imezindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule maalum kwa watoto wa kike inayosimamiwa na Masisita wa Maria inayoongozwa na Baba Askofu Msataafu Polycarp Cardinal Pengo. Shule ya Sister Mary ni ya kwanza wa aina yake Afrika ambayo inatoa elimu kwa watoto wa …
Soma zaidi »WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Agosti kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development-TICAD 7) utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Agosti 2019. …
Soma zaidi »SERIKALI KUKARABATI SHULE KONGWE YA GALANOS, MILIONI 696 ZATENGWA
Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 696 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule kongwe ya sekondari Galanos iliyopo mkoani Tanga. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia William Ole Nasha alipotembelea shule hiyo kukagua maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia …
Soma zaidi »MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI JULIUS NYERERE KATIKA MAPOROMOKO YA MTO RUFIJI UNAOTEKELEZWA NA SERIKALI ULIASISIWA NA BABA WA TAIFA MWAKA 1975
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Tano inatekeleza kwa vitendo Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere katika Maporomoko ya Mto Rufiji unaojulikana kama Julius Nyerere HydroPower Project ambao uliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere mnamo mwaka 1975. Hayo yamesemwa na Naibu …
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA VIVUKO VIPYA VIWILI
BAIDU KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA NCHINI CHINA
Katika Jitihada za kukuza utalii nchini Taasisi iliyopewa jukumu hilo yaani Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Nchini China, wamewezesha kampuni ya Beijing Pseacher Business na Baidu kuja nchini kutembelea na badaye kufanya kazi ya uzalishaji wa picha mjongeo(Film) na picha zitakazowekwa kwenye mtando wao wenye …
Soma zaidi »