WIZARA YA ELIMU YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA UJENZI WA SHULE YA SISTER MARY

MR 1-01
Baadhi ya wanafunzi  wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imezindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule maalum kwa watoto wa kike inayosimamiwa na Masisita wa Maria inayoongozwa na Baba Askofu Msataafu Polycarp Cardinal Pengo.
  • Shule ya Sister Mary ni ya kwanza wa aina yake Afrika ambayo inatoa elimu kwa watoto wa kike  kusoma masomo ya darasani na kupata fursa ya kusoma masomo mbalimbali ya ufundi ambapo ndani ya miezi mitatu ya shule imepokea wanafunzi 153
MR 3-01
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wa katikati na Naibu Katibu Mkuu Wizara vya Eilimu Dkt. Ave-maria Semakafu pamoja na  Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wakielekea kukata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
MR 4-01
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Balozi wa Korea ya Kusuni Cho Tae – Ick na  Naibu Katibu Mkuu Wizara vya Eilimu Dkt. Avemaria Semakafu pamoja na  Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wakikata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
MR 5-01
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wa tatu toka kushoto akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wa pili toka kushoto wakijiandaa kukata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
RM 6-01
Spika Mstaafu Bi Anne Makinda akipanda mti wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
RM 9-01
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Joketo Mwegelo akifurahi jambo na Spika Mstaafu Bi Anne Makinda wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
VB 1-01
Muonekano wa shule ya Sister Mary
VB 2-01
Muonekano wa shule ya Sister Mary
Ad

Unaweza kuangalia pia

MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *