MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
BWAWA LA NYERERE NI ZIWA JIPYA ULIMWENGUNI
Linakuwa Eneo la tisa kwa ukubwa Ulimwenguni, la nne kwa ukubwa barani Afrika, na kubwa zaidi Mashariki mwa Afrika. Kwa urefu wa kilomita 100 (maili 62), upana wa kilomita za mraba 1,200 (maili za mraba 460), Likizuiwa na ukuta wa konkriti wenye urefu wa mita 134 [futi 440] likiwa na …
Soma zaidi »Wakili Msomi Hendry Mnuka Uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam una tija
Mchumi Walter Guma Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hili la Bandari Samia amefanya haya
Majid Mjengwa ameleza wingu Kubwa lililokuwa kwenye Uwekezaji wa Bandari
MAKALA SAFARI YA RAIS SAMIA WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO
Hata uchumi wa Korea ulikuwa kama wa Tanzania, walipoamua kuruhusu wawekezaji wameiacha Tanzania
#DP#Bandari #Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya #DP-World
Soma zaidi »TANZANIA KINARA MASUALA YA MAAFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia utoaji wa huduma na misaada ya kibinadamu kwa nchi wanachama. …
Soma zaidi »CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO
Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye …
Soma zaidi »