Na Rayson Mwaisemba WAMJW- DomMsajili wa Baraza la Famasi nchini Bi Elizabeth Shekalaghe ametoa siku 14 kwa wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi kujisalimisha katika Baraza hilo.Bi. Shekalaghe ametoa agizo hilo leo wakati akiongea na maafisa habari wa Wizara ya Afya katika ofisi zake zilizo katika …
Soma zaidi »HOSPITALI YA UHURU YAANZA KUTOA HUDUMA
Katibu wa kuratibu shughuli za Serikali kuhamia Dodoma Meshack Bandawe akizungumza jambo na manesi wanaofanya kazi katika hospital ya uhuru iliyopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.Hospitali hiyo ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 99.8, imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje. Hospitali ya Uhuru inayojengwa kwa gharama za bilioni 3.9 …
Soma zaidi »ONGEZENI KASI KATIKA HUDUMA ZA MAABARA: DKT. MHAME
Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWataalam wa Maabara nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kuhakikisha huduma za tiba inayotolewa inafuata miongozi ya wizara na kuhakikisha wanabadili fikra na mitazamo ili kuwafanya wateja wao waweze kuvutiwa na huduma wanazozisimamia. Hayo yamesemwa leo na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa …
Soma zaidi »DKT. GWAJIMA AMETAKA PESA ZA DAWA ZIHESHIMIKE
Viongozi wa vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wametakiwa kuheshimu fedha za dawa kadri zilivyopangwa kwenye bajeti ya Serikali kuu na vyanzo vingine ili kuweza kuondoa kero ya upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya afya nchini. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …
Soma zaidi »HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE
Hospitali ya Sanitas yapewa siku saba kukamilisha malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wake agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, …
Soma zaidi »DKT. GWAJIMA AWATAKA WAKURUGENZI WA TAASISI KUAINISHA CHANGAMOTO NA MAHITAJI ILI KUTEKELEZA ILANI
Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wametakiwa kuanisha changamoto na mahitaji yote yanayohitajika ili kuakisi na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuwezesha kuleta maendeleo katika sekta ya afya nchini. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Wizara …
Soma zaidi »WATAALAM WA TIBA ASILI WATAKIWA KUFANYA UTAFITI WENYE USHAHIDI
Wataalam wa tiba asili na tiba mbadala nchi wametakiwa kufanya utafiti ambao utakuwa na ushahidi wa usalama wa dawa pamoja na ufanisi wa wa dawa hizo kwa watumiaji. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto-Idara kuu Afya Bw. Edward Mbanga …
Soma zaidi »“VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO HAVIVUMILIKI TENA” – MGANGA MKUU WA SERIKALI
Na Englibert Kayombo WAMJW – MWANZA Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi amesema kuwa Serikali haitovumia tena vifo vya akina mama wajawazito vinavyosababishwa na uzembe wa watumishi kazini. Prof. Makubi ametoa kauli hiyo alipokuwa akifunga kikao kazi cha timu ya uongozi wa afya ya Mkoa wa Mwanza kilichofanyika Wilayani …
Soma zaidi »KUELEKEA MPANGO MKAKATI WA 5 WA SEKTA YA AFYA, SERIKALI YAJIDHATITI KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA KWA WANANCHI
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Mabula Mchembe (hayupo kwenye picha) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Kitaalam wa tathmini ya utekelezaji katika Sekta ya Afya uliohudhuriwa na Wadau wa Sekta ya Afya nchini, Jijini Dodoma. Serikali, kupitia …
Soma zaidi »MGANGA MKUU WA SERIKALI – TUMEONGEZA UWEZO WA KUGUNDUA WAGONJWA WAPYA WA KIFUA KIKUU
Na Englibert Kayombo WAMJW – Dodoma Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi alipokuwa akifungua mkutano wa mwaka wa Mpango wa …
Soma zaidi »