ZANZIBAR

SERIKALI YA ZANZIBAR IMELENGA KUENDESHA NA KUKUZA UCHUMI WA BULUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka taratibu na sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.Rais Dk Hussein Mwinyi ameyasema hayo leo Ikuku Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MADHEHEBU YA BOHORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa mbali mbali zilizopo hapa nchini.Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Wajumbe wa Jumuiya ya Madhehebu …

Soma zaidi »

SERIKALI KUSHUGHULIKIA SANAA, BURUDANI PAMOJA NA MICHEZO – RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati akizindua rasmi Baraza hilo la 10. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itawekeza …

Soma zaidi »

UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO

Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …

Soma zaidi »

DKT. ZAINABU CHAULA AAGIZA VITUO VYA MAWASILIANO ZANZIBAR KUJIENDESHA KWA FAIDA

Kituo cha TEHAMA cha Mkokotoni kilichopo Unguja, moja ya vituo sita vya TEHAMA vilivyokaguliwa naKatibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Zainabu Chaula kisiwani Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri nya …

Soma zaidi »