MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI KATIKA BARAZA LA EID EL HAJJ

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa CCM Dkt. Hussein Mwinyi, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, wakiangalia Maulid nje ya ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mradi wa Magari ya Mwendo Kasi, Kuboresha Usafiri, Uchumi, na Mazingira Tanzania

Mradi wa magari ya mwendo kasi nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi za kijamii, kiuchumi, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *