Recent Posts

LUKUVI AANZA KUWASAKA WAMILIKI WA ARDHI WASIOCHUKUA HATI KWA SIMU

Na Munir Shemweta, DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameanza kazi ya kuwatafuta wamiliki wa ardhi walioshindwa kuchukua hati zao kwenye ofisi za Ardhi za mikoa kwa kuwapigia simu wamiliki wa jiji la Dar es Salaam na  kuwataka kuzifuata hati zao katika kipindi …

Soma zaidi »

VIWANDA KUONDOA UMASIKINI WA WAFUGAJI NA WAVUVI

Na. Edward Kondela Serikali imesema itahakikisha sekta za mifugo na uvuvi zinawaondoa wananchi katika umasikini, kupata ajira na nchi iweze kuuza bidhaa bora za mazao ya mifugo na uvuvi ndani na nje ya nchi. Akizungumza Jana (28.12.2020) katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MWITA WAITARA AMETEMBELEA MGODI WA DHAHABU WA GEITA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara (katikati) akikagua shughuli za uchimbaji katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) mkoani Geita na kuridhishwa na utunzaji wa mazingira mgodini hapo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara ametembelea Mgodi wa …

Soma zaidi »

GEKUL AWATAKA WAFUGAJI KUWA WAZALENDO

Mkurugenzi wa kiwanda hicho Shabbir Virjee akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Mifugo Pauline Gekul katika Ziara maalum kiwandani hapo ili kujionea uendeshaji wa kiwanda hicho. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Pauline Gekul amewataka wafugaji haswa wa Kanda ya Kaskazini, kuhakikisha kuwa wanauza Mifugo yao katika kiwanda Cha Eliya …

Soma zaidi »