Recent Posts

RUWASA KUMALIZA KERO YA MAJI KATA YA RUTAMBA

Serikali kupitia Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) inatekeleza mradi wa maboresho wa Mradi wa Maji wa Rutamba kwenye Halmashauri ya Mtama katika mkoa wa Lindi kwa lengo la kumaliza changamoto ya upatikanaji wa majisafi na salama kwa wakazi wa kijiji hicho. Meneja wa RUWASA mkoa …

Soma zaidi »

AJIRA ZAIDI YA 2,000 ZIMEPATIKANA WILAYANI SIHA MKOANI KILIMANJARO

Na, Pius Ntiga, Siha. Zaidi ya ajira 2,000 zimepatikana katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka mitano za wananchi kufanya kazi katika miradi mbalimbali ukiwemo wa Shamba la Mwekezaji la Maparachichi-Africado. Miradi hiyo mikubwa ya Mwekezaji Africado lililopo Kijiji cha Kifufu pamoja na ule wa Shamba la …

Soma zaidi »

MAHUSIANO YA TANZANIA NA WAWEKEZAJI NI MAZURI – FONS NIJENHUIS

Na, Pius Ntiga, Moshi Zaidi ya Hekari 250 zinatumika katika uwekezaji wa Shilingi Bilioni 6 tangu Mwaka 2003 na kufanikiwa kutoa ajira kwa Watanzania zaidi ya 1,000 katika Shamba la Mwekezaji wa Maua la Vasso linalomilikiwa na raia wa Uholanzi, Fons Nijenhuis lililopo Kijiji cha Dakau Wilaya ya Moshi Mkoani …

Soma zaidi »

VIHENGE VYA NFRA KUWAHAKIKISHIA SOKO LA MAHINDI WAKULIMA MKOANI RUKWA

Ujenzi wa wa Vihenge vya kisasa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Omary Mgumba amewahakikishai wakulima wa zao la mahindi mkoani Rukwa kuwa mradi wa ujenzi wa Vihenge vya kisasa vya kuhifadhia mazao hayo utakapokamilika utatatua tatizo la soko kwa wakulima ambao kwa msimu wa 2019/2020 wamekuwa wakipata tabu kutokana na …

Soma zaidi »