Recent Posts

KASI YA USAMBAZAJI UMEME KWENYE TAASISI ZA UMMA YAONGEZEKA

Hafsa Omar-Kagera Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali inataendelea  kuzipa kipaumbele  Taasisi za Umma nchini  katika usambazaji wa umeme vijijini ili siweze kutoa huduma bora kwa Watanzania. Ameyasema hayo , Agosti 16,2020 kwa nyakati tofauti  wakati akiwa kwenye ziara ya kazi ya ukaguzi wa kazi ya usambazaji umeme …

Soma zaidi »

BILIONI 100 KUPELEKA UMEME PEMBEZONI MWA MIJI

Veronica Simba – Arusha Serikali imetenga shilingi bilioni 103.8 kwa ajili ya kupeleka umeme katika maeneo yaliyo pembezoni mwa majiji, mikoa, manispaa na miji, nchi nzima. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, alibainisha hayo kwa nyakati tofauti, Agosti 16, 2020 alipokuwa katika ziara ya kazi wilayani Arusha. Akizungumza muda mfupi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AWAPATIA HATI ZA ARDHI WALIMU ILEMELA

Na Munir Shemweta, WANMM ILEMELANaibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Dkt Angeline Mabula ametoa hati 315 kwa walimu wa shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilemela ikiwa ni juhudi zake za kuhakikisha walimu wa maniapaa hiyo wanamilikishwa ardhi kwa gharama nafuuWalimu waliopatiwa Hati za viwanja …

Soma zaidi »

MILLIONI 715 ZATUMIKA KUBORESHA OFISI, MAKAZI YA VIONGOZI TANGA

Shilingi milioni 715 zimetumika kukarabati Nyumba za Wakuu wa Wilaya za Lushoto na Korogwe, kujenga nyumba ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Lushoto na Ofisi nane za tarafa katika Wilaya hizo.Ujenzi na Ukarabati wa nyumba na ofisi hizo ni sehemu ya utekelezaji wa azima  Serikali ya Awamu ya Tano kuboresha …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA SAMANI RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao. Ametoa rai hiyo (Jumapili, Agosti 16, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Namichiga, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, waliohudhuria uwekaji wa jiwe la msingi kwenye kiwanda cha …

Soma zaidi »