RAIS DKT. MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA SADC KWA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa (SADC) uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao mara baada ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020. PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

MWENDO KASI LEOTakwimu za Sasa za Utekelezaji wa Mradi wa Mwendo Kasi kwa Mwaka 2024

Mradi wa Mwendo Kasi (BRT) nchini Tanzania unaendelea kupiga hatua kubwa katika utekelezaji wake mwaka …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *