Recent Posts

RC SHIGELLA ATEMBELEA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA KADI ZA KIELEKTRONIKI

Serikali imetakiwa kuweka utaratibu utakaowezesha taasisi za Umma na watu binafsi, kuacha kuagiza kadi za kielektroniki nje ya nchi na badala yake watumie zinazozalishwa nchini ili kujenga uchumi wa viwanda.Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella, alitoa pendekezo hilo wakati alipotembea kiwanda kipya cha kuzalisha vocha na kadi mbalimbali kinachojulikana …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha Megawati 2,115 na amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt. Tito Mwinuka asimamie mradi huo ili ukamilike kwa wakati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700. “Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AFUNGUA KITUO CHA AFYA SUNYA, KITETO MKOANI MANYARA

Na. Majid Abdulkarim , Kiteto Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo amewataka wataalam wa afya kujipanga vema katika kutoa huduma nzuri kwa wananchi ili kutimiza adhima ya Mhe.Rais ya kuwatumikia watanzania. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa ufunguzi wa kituo cha afya cha …

Soma zaidi »

TANI 20,000 ZA SUKARI ZIMESHUSHWA MWANZA – WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kwa wauzaji kuzingazitia bei elekezi. Mhe.Bashungwa ameyasema hayo Tarehe 14 mai 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari …

Soma zaidi »

SERIKALI YATANGAZA BEI ELEKEZI YA CHANJO 13 ZA MAGONJWA YA MIFUGO

Serikali imetangaza bei elekezi ya chanjo 13 za magonjwa ya mifugo ya kimkakati ambapo sasa wafugaji watapa ahueni kubwa kwa kutumia gharama ndogo kupata chanjo hizo huku Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akitaka bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania TVLA kuhakikisha Kliniki za mifugo zinajengwa kwenye …

Soma zaidi »