Recent Posts

WAKAZI WA PEMBEZONI MWA BAHARI WAELIMISHWA ATHARI ZA MAGENDO

Wakazi na wafanyabiashara waishio pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi katika kata za Somangila, Kimbiji na Pemba Mnazi zilizopo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam wameelimishwa kuhusu athari za magendo yanayopitishwa kinyume na sheria katika maeneo hayo. Elimu hiyo imetolewa wakati wa kampeni maalum ya kuelimisha wananchi kuhusu …

Soma zaidi »

NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za uongozi pamoja na kuwa na   hofu ya Mungu bila kusahau kutanguliza Uzalendo katika kuhakikisha Tanzania inafikia malengo iliyojiwekea. Rais Magufuli Ameyasema hayo leo tarehe 3 Februari 2020 katika hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali …

Soma zaidi »

WATAALAMU WA MOYO NA WAZIBUAJI WA MISHIPA YA DAMU YA MOYO WA (JKCI) NA MWENZAO KUTOKA KAMPUNI YA MEDTRONIC WAZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO YA MGONJWA AMBAYO IMEZIBA KWA MUDA MREFU

Jumla ya wagonjwa 12 ambao mishipa yao ya damu ya moyo imeziba kwa muda mrefu (Total Chronic Occlusion – CTO) wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji unaohitaji utaalamu wa hali ya juu katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar …

Soma zaidi »