Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO) wakutana Jijini Arusha kupanga mikakati ya kuvutia watalii kutoka China. Mkutano huo umehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini(TTB) Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa TTB Bi Devotha Mdachi
Soma zaidi »Recent Posts
MADAKTARI KUTOKA NCHINI CHINA WANAOFANYA KAZI NCHINI WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA DAWA ZENYE THAMANI YA SH. 15 MILIONI KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kwa mwaka 2019 kwa ajili ya kulipa gharama za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotoka katika familia maskini na wasiokuwa na uwezo wa kulipia gharama hizo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga wakati akizungumza …
Soma zaidi »TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kukoa kiasi cha Tsh. Trilioni 12.7 kwa kutumia gesi asilia katika kuzalisha umeme badala ya kutumia fedha za kigeni kuagiza mafuta. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa Desemba 13, 2019) Jijini …
Soma zaidi »MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3
Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 13 Disemba 2019 wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa mara baada ya …
Soma zaidi »KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA MITAMBO YA GESI SONGONGO NA MNAZI BAY
Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, amefanya ziara ya kikazi katika mitambo ya kuzalisha, kuchakata na kusafirisha gesi asilia iliyopo kisiwani Songo Songo mkoani Lindi, na ile ya Madimba na Mnazi Bay Mkoani Mtwara kwa lengo la kukagua maendeleo ya uzalishaji na uchakataji wa Gesi Asilia katika maeneo …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA ATOA SIKU 23 SKIMU YA UMWAGILIAJI NANGANGA WILAYANI RUANGWA KUWA IMEKAMILIKA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametoa siku 23 pekee kwa wakandarasi wanaojenga Skimu ya Umwagiliaji ya Nanganga wilayani Ruangwa kuwa wamekamilisha ujenzi wa mradi huo. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo leo tarehe 12 Disemba 2019 la kukamilika kwa mradi huo wakati alipotembelea na kukagua skimu hiyo yenye hekta …
Soma zaidi »UMEME UMEBADILI MAISHA YA WANA-RUVUMA – RC MNDEME
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameipongeza Serikali kwa kuunganisha umeme wa gridi ya Taifa mkoani humo, ambao umebadili hali ya maisha ya wananchi husika kutoka kwenye uduni na kuwa bora zaidi. Alikuwa akieleza hali ya upatikanaji umeme mkoani Ruvuma kwa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani na Ujumbe …
Soma zaidi »NHIF YATAJWA KUCHANGIAMAGEUZI SEKTA YA AFYA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetajwa kuwezesha mageuzi yenye tija katika sekta ya afya katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano Akizungumza waandishi wa habari leo, Desemba 12, 2019 Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Bernard …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AZINDUA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS, AWEKA MKAKATI WA SOKO LA UHAKIKA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za ngozi, Wilaya hiyo imejipanga kuwatafutia maeneo wazalishaji wa ndani ambapo wote watakaa sehemu moja kwa ajili ya uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonesho …
Soma zaidi »