Recent Posts

MKUTANO WA NISHATI KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAANZA ARUSHA

Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Nishati la Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeanza  Juni 3, 2019 jijini Arusha. Akifungua Mkutano huo katika siku ya kwanza ambao unahusisha ngazi ya wataalamu wa sekta husika; Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Fedha na …

Soma zaidi »

UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28

Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze  bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri. Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi …

Soma zaidi »

BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …

Soma zaidi »