Recent Posts

SERIKALI YAIPONGEZA TOTAL KWA KUWEKEZA BILIONI 460

Yasaidia wajasiriamali wadogo kwa kuwatengea sh. milioni 200 kila mwaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza kampuni ya TOTAL Tanzania kwa kuwekeza hapa nchini mtaji wa dola za Marekani milioni 200 (sawa na sh. bilioni 460) ndani ya miaka mitatu. Alitoa pongezi hizo  (Alhamisi, Mei 9, 2019) kwenye sherehe za kutimiza …

Soma zaidi »

OCP NA ETG YAAGIZWA KUWA NA MAGHALA YA KUIFADHIA MBOLEA KUFIKIA JULAI 2019

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeyaagiza makampuni ya Premium Agrochem, OCP na Export Trading Group (ETG) kuhakikisha kwamba ifikapo Julai, 2019 kampuni hizo ziwe na ghala za kuhifadhia mbolea na mawakala wa kusambaza katika mikoa inayotumia mbolea kwa wingi ukiwemo mkoa wa Katavi ili kuondoa changamoto ya upungufu wa mbolea kwa wakulima katika maeneo …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO AFUNGUA SOKO KUU LA MADINI MKOANI MWANZA

Waziri wa Madini, Doto Biteko  amefanya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza na kutumia fursa hiyo kuwahimiza wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kutumia soko hilo kuuzia madini yao na kuachana na tabia ya utoroshaji wa madini. Uzinduzi wa soko hilo unganishi Kanda ya Ziwa umefanyika Mei 08, 2019 katika …

Soma zaidi »