Recent Posts

“SEKTA YA AFYA NCHINI INAKUWA KWA KASI” – Dkt. NDUGULILE

Sekta ya afya inakua kwa kasi huku huduma muhimu za afya kwa sasa zikiwa zinapatikana hapa hapa nchini” Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile alipokua akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliyopo …

Soma zaidi »

TANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI URUSI

  Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la utalii duniani nchini Urusi kwa mwaka 2018 (The Best Destination to the World in the Category of Exotic Destination 2018). Balozi wa Tanzania nchini Urusi Mhe. Maj. Gen. (Mst). Simon Mumwi atapokea Tuzo hiyo kutoka Jarida la …

Soma zaidi »

TANZANIA TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE

Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …

Soma zaidi »

Miradi Mipya ya Umeme Ilenge Maeneo Yenye Changamoto – Dkt Kalemani

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewataka wataalam wanaopanga maeneo yanayopaswa kupelekewa umeme kupitia miradi mbalimbali kuhakikisha kuwa wanakuwa makini katika upangaji wa maeneo hayo ili kutorundika miradi mingi katika maeneo ambayo tayari yameshasambaziwa umeme. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake na Naibu Waziri wa Nishati, …

Soma zaidi »

Tuhimize Michezo Sehemu za Kazi – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Mashirika na Taasisi kutenga fedha kwa ajili ya michezo. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa Mashindano ya SHIMMUTA uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. “Kwa Wakuu wa Taasisi, kwa kuwa …

Soma zaidi »