Recent Posts

MUFTI: “NI LAZIMA DINI TUKEMEE USHOGA!”

Ni Mufti Abubakar Zuberi bin Ally Asema hayo alipokuwa akizungumza katika Baraza la Kitaifa la Maulid lililofanyika Korogwe mkioani Tanga. Amesema haiwezekani waumin wabaki wanafanya ibada lakini vitendo vya ushoga vinatokea na wanaovifanya wanaonekana na kuachwa bila kukemewa. Adai kidin, yapo mambo mawili; La kwanza ni kukataza (kukemea) na kuamrisha …

Soma zaidi »

UJENZI WA KIWANDA CHA MAGARI WAANZA

Zaidi ya billioni 22 za Kitanzania zimetengwa kwaajili ya hatua ya kwanza ya ujenzi wa Kiwanda cha uundaji wa magari cha Youngsan Glonet Corporation (KOTA) kutoka Jamhuri ya watu wa Korea. Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam baada ya hatua ya awali ya kutiliana …

Soma zaidi »

BILIONI 2 ZIMEKWISHATOLEWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Serikali Kupitia Benki ya kilimo Tanzania(TADB) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kwa wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma katika malipo ya kundi la kwanza la watu ambao wamehakikiwa kupitia vyama vya msingi na vyama vya ushirika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 17, Waziri …

Soma zaidi »

Tumieni Sheria Kulinda Vyanzo vya Maji – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameutaka Uongozi wa mkoa wa Manyara kutumia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya maji. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo mjini Babati akiwa kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo. “Tumieni sheria ya mazingira inayotaka …

Soma zaidi »