- Ni Mufti Abubakar Zuberi bin Ally
- Asema hayo alipokuwa akizungumza katika Baraza la Kitaifa la Maulid lililofanyika Korogwe mkioani Tanga.
- Amesema haiwezekani waumin wabaki wanafanya ibada lakini vitendo vya ushoga vinatokea na wanaovifanya wanaonekana na kuachwa bila kukemewa.
- Adai kidin, yapo mambo mawili; La kwanza ni kukataza (kukemea) na kuamrisha linafuata.
- Afafanua kiimani kwamba ambaye hakemei anakuwa mbaya zaidi kuliko anayetenda vitendo vuiovu.
Fuatilia link hii ya video kusikiliza na kutazama alichokisema Mufti
Ad