Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Automobile Limited, Dkt. Reginald Mengi na Mkurugenzi na Mwakilishi wa Kampuni hiyo, Thomas Choi .

UJENZI WA KIWANDA CHA MAGARI WAANZA

  • Zaidi ya billioni 22 za Kitanzania zimetengwa kwaajili ya hatua ya kwanza ya ujenzi wa Kiwanda cha uundaji wa magari cha Youngsan Glonet Corporation (KOTA) kutoka Jamhuri ya watu wa Korea.
  • Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam baada ya hatua ya awali ya kutiliana saini ya makubaliano ya ubia kati ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Automobile Limited, Dkt. Reginald Mengi na Mkurugenzi na Mwakilishi wa Kampuni hiyo, Thomas Choi .
  • Kati ya Septemba na Oktoba mwaka 2019, Tanzania itaanza kutumia gari la kwanza litakaloundwa hapa nchini.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KAIRUKI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *