Recent Posts

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAPIGWA MSASA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeipiga msasa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwa kuipatia mafunzo maalumu yenye malengo mbalimbali hasa maslahi ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, mafunzo hayo pia yatajikita  katika masuala ya Itifaki, mawasiliano ya …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUWAPANGA WAMACHINGA

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuwapanga upya Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga, bila kutumia nguvu ili wafanye biashara zao kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (Mb) kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 49.5 KUIMARISHA SHIRIKA LA POSTA

Na Jonas Kamaleki, Dodoma  Serikali imetoa shilingi bilioni 49.5 kuimarisha Shirika la Posta na hadi sasa  vituo viwili vinavyotoa huduma za pamoja vimeshaanzishwa Dar es Salaam na Dodoma, kwa awamu hii ya kwanza mikoa 10 itafikiwa ikiwemo vituo 2 Pemba na Unguja, Awamu ya pili itafikia vituo (Mikoa) 17 na lengo …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: NIMERIDHISHWA NA HATUA YA UJENZI WA RELI YA SGR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa, Mkoani Morogoro na kusema kwamba ameridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa. “Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kukamilisha ujenzi wa miradi yote iliyoanzishwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali …

Soma zaidi »

WAZIRI AWESO AITUMIA BASHUNGWA CUP KUWAPA MBINU WABUNGE

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametoa rai kwa wabunge hapa nchini kuziomba  mamlaka zinazowazunguka  kuboresh miundombinu ya  michezo ikiwa ni pamoja na viwanja vya michezo katika maeneo yao ili kuwa katika viwango vinavyotakiwa.  Mhe. Aweso amefafanua kwamba  endapo viwanja vya michezo vitakuwa katika viwango vinavyotakiwa, hali hiyo itawafanya vijana …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 12 Septemba, 2021 amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za uongozi kama ifuatavyo:- Amemteua Mhe. Dkt. STERGOMENA LAWRENCE TAX (Mb), kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.  Mhe. Dkt. TAX anachukua nafasi ya Marehemu ELIAS JOHN KWANDIKWA. …

Soma zaidi »