Recent Posts

RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA (CAG) NA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA (TAKUKURU) KWA MWAKA 2022/2023

“Ripoti hizi zilizotolewa hapa zinasaidia katika maboresho ya serikali kwa watumishi wa umma kwasababu ripoti zilizotolewa hapa tutakwenda kuangalia kwenye dosari na kufanya marekebisho na mwakani pengine hizi hazitajirudia na tutakuwa tumesogea. Tunawashukuru sana CAG na TAKUKURU kwakuwa kazi hii inaimarisha utendaji ndani ya mashirika ya umma na kupunguza hasara…itafika …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati alipotembelea chanzo cha mradi huo eneo la la Nyumba yaMungu Wilaya ya Mwanga wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika eneo la Nyumba ya Mungu Wilaya ya Mwanga kwaajiliya kutembelea na kukagua chanzo cha maji cha mradi wa Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na …

Soma zaidi »

MAFANIKIO YA SEKTA YA UJENZI KATIKA MKOA WA ARUSHA 

 Sekta ya Ujenzi imepata mafanikio makubwa katika Mkoa wa Arusha. Kupitia juhudi zilizofanywa na Serikali kupitia TANROADS, kumekuwa na maboresho makubwa katika miundombinu ya barabara na madaraja. Kulingana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Mha. Reginald R. Massawe, kumekuwa na ongezeko la kilometa 53 za barabara za lami, ambapo …

Soma zaidi »