Recent Posts

RAIA WA POLAND NA MKE WAKE MIAKA 30 JELA KWA KULIMA BANGI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imewahukumu kifungo cha miaka 30 gerezani washtakiwa Damian Jankowsky Krzysztof raia wa Poland na mke wake Eliwaza Raphael Pyuza Mtanzania kwa makosa ya kulima mimea 729 ya bangi na kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi kiasi cha kilogramu 17.2 kinyume cha sheria. Vilevile, Mahakama …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWATAKA MAWAZIRI NA WATAALAMU WA TANZANIA NA KENYA (JPC) KUKUTANA MARA MOJA ILI KUFANYIA KAZI MASUALA MBALIMBALI YA KUIMARISHA UHUSIANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tarehe Aprili, 2021 amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta uliowasilishwa na Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa Kenya, Balozi Dkt. Amina Mohamed. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …

Soma zaidi »

WIZARA MPYA TUCHAPE KAZI KWA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile(wa pili kulia) akifungua baraza la wafanyakazi la Wizara hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. Kulia ni Naibu wake Mhandisi Kundo Mathew, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kushoto ni Naibu Katibu …

Soma zaidi »

UTARATIBU MBOVU KUIGHARIMU BENKI IWAPO FEDHA ZA MTEJA ZITAIBWA

Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hutoa adhabu kwa Benki yeyote itakayobainika kusababisha fedha za mteja kuibwa kutokana na utaratibu uliowekwa na Benki husika kuwa na kasoro. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi, Hamad Yussuf Masauni (Mb), alipokuwa akijibu swali …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI WAANZA KAZI RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Naibu Katibu Mkuu, Kheri Abdul Mahimbali wakiwa katika mazungumzo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara ya Nishati, Mtumba jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Naibu Katibu Mkuu, Kheri Abdul Mahimbali, tarehe 8 …

Soma zaidi »