Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 8, 2021 alipofanya ziara ya kikazi katika machinjo hiyo kwa ajili …
Soma zaidi »Recent Posts
KATIBU MKUU NZUNDA AHIMIZA KASI NA MATOKEO CHANYA OFISI YA WAZIRI MKUU
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Kasper K. Mmuya akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Tixon Nzunda Jijini Dodoma. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar leo tarehe 08 Aprili 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KARUME ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la Maua katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume mara baada ya Dua iliyofanyika katika Ofisi Kuu za Chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Zanzibar leo tarehe 07 April 2021 katika Siku ya …
Soma zaidi »DKT. NCHEMBA: TUTABORESHA MASUALA YA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA SERIKALI
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wafanyabiashara hapa nchini kuwa Wizara yake itahakikisha inarejesha taswira na mahusiano mazuri nao katika masuala yakodi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kusisimua uchumi wa nchi. Dkt. Nchemba alitoa ahadi hiyo Ikulu …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AMEWATAKA VIONGOZI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA MAJUKUMU NA WAJIBU WA WIZARA NA TAASISI ZAO IPASAVYO IKIWEMO UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MAkatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne April 6, 2021 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza …
Soma zaidi »WALIO HAMISHA FEDHA ‘BANK’ WAZIRUDISHE – WAZIRI WA FEDHA MWIGULU
Serikali imetoa rai kwa wafanyabiashara wote waliotoa fedha zao kwenye mabenki wakiogopa zitachukuliwa baada ya akanti zao kuonekana na fedha nyingi kuzirejesha kwa hiari na kuendelea na utaratibu wa kutumia benki kutunza fedha zao. Pia imewataka watendaji walio na jukumu la kukusanya kodi kuhakikisha wanakusanya kodi kwa wafanyabiasha kwa kuzingatia …
Soma zaidi »WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA NA NAIBU WAKE MHANDISI MASAUNI WAANZA KAZI RASMI BAADA YA KUAPISHWA
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb), akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Bi. Emiliana Shayo, alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Kiserikali wa Magufuli -Mtumba, baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »DC KINONDONI AANZA ZIARA YA KATA KWA KATA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi kata kwa kata Katika kata mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi. Akiongea mara baada ya kusikiliza kero za Wananchi Katika kata …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika …
Soma zaidi »