Recent Posts

TBS YATEKETEZA BIDHAA ZISIZOKIDHI UBORA ZENYE THAMANI YA MILIONI 40

Na Eliud Rwechungura Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milioni 40 ambazo ziliondolewa sokoni na Wakaguzi wa TBS kanda ya kati kuanzia mwezi Novemba, 2020 hadi Januari 15, 2021. Zoezi hilo la uteketezaji bidhaa hizo limefanyika katika dampo Chidachi – Dodoma, Januari …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUCHUKUA ARDHI BILA KULIPA FIDIA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amepiga marufuku halmashauri,  Taasisi na Watu binafsi kuchukua maeneo ya wananchi bila kulipa fidia. Akizungumza hivi karibuni mkoani Singida wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa huo, Lukuvi alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya halmashauri na Taasisi …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Madini Doto Biteko, Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS Profesa Dos Santos Silayo pamoja na viongozi …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO) litakalofanyika Februari 13, 2021 jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana Katibu Mkuu wa TAMUFO, Stella Joel alisema pamoja na mambo mengine Bashungwa atatoa  kadi za …

Soma zaidi »

Ole NASHA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha akisisitiza jambo walipofanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngaga aliyemtembelea Naibu Waziri Ofisini kwake jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole …

Soma zaidi »

DK. AKWILAPO AIPONGEZA CSSC KWA KUTOA ELIMU BORA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo, ameipongeza Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC),kwa mchango wake katika sekta ya elimu nchini huku akiahidi serikali kufanyia kazi maoni yanayotolewa ikiwamo kupunguza kwa mitihani ya majaribio. Akifungua leo Mkutano wa mwaka cha Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi …

Soma zaidi »