Maktaba Kiungo: Imani Tanzania

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Agosti kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development-TICAD 7) utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Agosti 2019. …

Soma zaidi »

MAISHA HALISI YA MSHINDI WA TUZO SINEMA ZETU (SZIFF 2019), MUIGIZAJI BORA WA KIKE; Ni funzo chanyA+

• Anaitwa Flora Kihombo binti mwenye umri wa miaka 10 anayeendelea na elimu ya msingi (Darasa la Sita) •• Ni mtoto wa nne kuzaliwa katika familia duni yenye watoto 7 ambapo kutokana na ugumu wa maisha, wazazi wake iliwalazimu muwandikisha kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu mwaka …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA

Rais  Dkt. John Magufuli leo tamekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Mhe. Dkt. Obasanjo amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika uongozi wake ikiwemo kupambana na rushwa, kuimarisha utoaji wa elimu, kuimarisha …

Soma zaidi »

TFDA NI YA KWANZA BARANI AFRIKA KWA MIFUMO BORA YA UDHIBITI

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema katika kipindi Cha Miaka mitatu imeweza kufanya mambo mbalimbali ya udhibiti wa usalama, ubora na usalama wa bidhaa za ndani na nje ya Nchi ikiwemo kutambulika kimataifa kwa kuzingatia  viwango vya Kimataifa vya ISO 9001: 2015. Hii ni kutokana na mafanikio ya miaka mitatu …

Soma zaidi »

Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …

Soma zaidi »