LIVE; RAIS MAGUFULI NA UHURU KATIKA UFUNGUZI WA KITUO CHA KUTOA HUDUMA KWA PAMOJA NAMANGA.
LIVE IKULU: HAFLA YA KUAPISHWA MAWAZIRI WATEULE
#SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.
Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …
Soma zaidi »LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATATU
RAIS MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KULA KIAPO NOVEMBA 05, 2015.
Serikali Itaendelea Kushirikiana na Kanisa katika Kudumisha Amani na Upendo – Rais Magufuli
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki hapa nchini kuadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara. Misa Takatifu ya maadhimisho ya Jubilei hiyo ambayo imefanyika Bagamoyo Mkoani Pwani ambako Ukristo uliingia mwaka 1868 imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi nchini …
Soma zaidi »TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA
Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …
Soma zaidi »WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI NDANI YA ENEO LINALOJENGWA SGR!
Ni ndani ya mita 30 kila upande wa mradi wa SGR Jeshi la Polisi lakamata baadhi na kupiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kiuchumi ndani eneo la mradi wa reli ya kisasa ya umeme (Standard Gauge Ralway) Hairuhusiwi kwa yeyote kupita au kutumia kwa wakati wote njia zinazotumiwa …
Soma zaidi »