WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI NDANI YA ENEO LINALOJENGWA SGR!

  • Ni ndani ya mita 30 kila upande wa mradi wa SGR
  • Jeshi la Polisi lakamata baadhi na kupiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kiuchumi ndani eneo la mradi wa reli ya kisasa ya umeme (Standard Gauge Ralway)
  • Hairuhusiwi kwa yeyote kupita au kutumia kwa wakati wote njia zinazotumiwa na watendaji/ wakandarasi wanaojenga SGR
  • Hii ni kwa eneo lote la mradi kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma kwa awamu hii ambayo ujenzi unaendelea.
  • Wananchi watakiwa kuelimika na kushirikiana na serikali katika kujenga njia za kukuza uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote

Bofya link hii kuona serikali inavyochukua hatua kwa wote wanaojaribu kuhujumu juhudi za ujenzi wa wa Miradi mikubwa ya kitaifa.

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.