RAIS DKT MAGUFULI NA UHURU KENYATA KUZINDUA KITUO CHA FORODHA CHA PAMOJA Disemba 1, 2018
Dkt John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata kesho wanatarajia kuzinduwa kituo cha Forodha cha pamoja Namanga One Stop Bonder Point.Aidha Disemba 2, mwaka huu Rais John Magufuli ataweka jiwe la Msingi la mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya sh bilioni 520 katika Jiji la Arusha na baadhi ya maeneo …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 20 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA.
Tanzania Inazalisha Chakula Kingi Cha Kutosha – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI NA MKURUGENZI WA CRDB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Hamdi Abuali, Balozi wa Palestina; Mhe. Shinichi Goto, Mhe. Balozi wa Japan na Bwana Abdulmajid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Makamu wa Rais alianza kuonana na Mhe. Hamdi …
Soma zaidi »MAKTABA YA KISASA YAFUNGULIWA UDSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefungua maktaba mpya, kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyojengwa katika Kampasi Mlimani (Mwl. Julius K. Nyerere) Jijini Dar es Salaam. Maktaba hiyo kubwa Afrika Mashariki na Kati imejengwa kwa gharama ya shilingi …
Soma zaidi »LOWASSA: Mhe.Rais Asante kwa Kazi Nzuri
LIVE;RAIS MAGUFULI KATIKA UFUNGUZI WA MAKTABA YA KISASA UDSM
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY KENYA
JIJI LA DODOMA, ARUSHA VINARA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Halmashauri ya Jiji la Dodoma na Arusha zimeibuka vinara katika ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2018/19. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo wakati wa kutoa taarifa ya ukusanyaji …
Soma zaidi »