RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 20 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA. Matokeo ChanyA+ November 30, 2018 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Tanzania MpyA+ Acha maoni 699 Imeonekana Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika kikao chao cha ndani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 20 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Jijini Arusha(AICC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 20 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Jijini Arusha(AICC). Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest