Maktaba Kiungo: Makao Makuu Dodoma

MKANDARASI JENGO LA WIZARA YA NISHATI ATAKIWA KUKAMILISHA KAZI YA UJENZI KWA WAKATI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayetekeleza kazi ya ujenzi wa Jengo la Wizara ya Nishati linalojengwa katika Mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma kuhakikisha kuwa anakamilisha kazi hiyo kwa wakati uliopangwa. Akizungumza katika eneo la Ihumwa WaziriKalemani amesema kuwa, ili kufanikisha utekelezaji wa kazi hiyo kwa wakati …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU AMPA MKANDARASI SIKU 30 KUKAMILISHA JENGO LA MALIASILI NA UTALII DODOMA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe .Constantine Kanyasu ametoa siku 30 kwa mkandarasi wa SUMA JKT, aliyepewa kazi ya kujenga jengo la ofisi ya wizara hiyo katika mji wa serikali eneo la Ihumwa, Jijini Dodoma, kuhakikisha jengo hilo linakamilika ndani ya siku hizo alizopewa Amemshauri Mkandarasi huyo kufanya kazi …

Soma zaidi »

MIKOA YA DODOMA,GEITA NA NJOMBE YAONGOZA MAKUSANYO YA KIMKOA

Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …

Soma zaidi »

CHAMWINO: “Kaitumie sheria inayokupa mamlaka ya kuwafikisha mahakisha mahakamani wala rushwa ‘DIRECT’ bila kupita kwa yeyote” – RAIS MAGUFULI

Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, wamekula kiapo mbele yake katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma siku ya Jumatano Septemba 12, 2018. “Nenda ukafanye kazi.” Kauli ya Rais Magufuli akimuagiza Mkurugenzi wa mpya wa Taasisi ya Kusuia na Kupambana na …

Soma zaidi »