Maktaba Kiungo: OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA

Sote ni mashahidi wa namna lugha ya Kiswahili imeendelea kukua kwa kasi – Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Jamii kubadili fikra kwa kuchunguza na kufikiria jinsi ya kutumia vipengele mbalimbali vya lugha ya Kiswahili na Utamaduni wake kama bidhaa ya biashara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Chama …

Soma zaidi »

Nishati ya umeme itasaidia ukuaji wa uchumi wa viwanda – Naibu Waziri Sima

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza wajibu wao wa kutoa michango ya fedha na kuwezesha upatikanaji wa teknolojia za kisasa kwa nchi zinazoendelea kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi kwa mujibu wa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477

Ndugu Wananchi na Ndugu Watanzania Wenzangu; Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza. Napenda, kwanza kabisa, kutumia fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wazee wetu wote, wakiongozwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kufanikisha …

Soma zaidi »