Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Balozi Joseph Sokoine leo amefungua Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA 12 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA
WACHIMABJI WADOGO WA DHAHABU KUPUNGUZA UTUMIAJI WA ZEBAKI KWA 30% IFIKAPO 2024
Tanzania yadhamiria kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwa asilimia 30% ifikapo 2024. Katika kikao cha kupitisha Mpango Kazi wa Taifa wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kushirikisha sekta husika, leo katika Chuo cha Biashara …
Soma zaidi »LIVE: MAKAMU WA RAIS AKIZINDUA RASMI MAONESHO YA SABASABA
https://youtu.be/g549UdAOPFs
Soma zaidi »LIVE: MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA TAASISI ZINAZOKABILIANA NA UHALIFU UNAOVUKA MIPAKA
RAIS MAGUFULI AMFUTA MACHOZI MFANYABIASHARA ALIYEZUILIWA BIDHAA ZAKE TANGU 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumlipa fidia mfanyabiashara ambaye bidhaa zake zilishikiliwa na Mamlaka hiyo tangu mwaka 2015 kinyume na taratibu. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Juni 7, 2019 wakati akiongea na wafanyabiashara kutoka wilaya …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA ARIDHISHWA NA KASI YA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba amefanya ziara ya kikazi ya kukagua viwanda vinavyozalisha mifuko mbadala ikiwa ni siku ya nne tangu kuanza kwa utekelezaji wa Sheria ya Marufuku ya Mifuko ya Plastiki nchini. Akiwa katika Kiwanda Cha African Paper Bag Ltd …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS KUFUTURISHA WANANCHI WA PEMBA LEO
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO
RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao. Mhe. Rais …
Soma zaidi »