Maktaba Kiungo: OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA

SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI INAPATIKANA KWA WINGI ILI KUKIDHI MAHITAJI

Serikali imefafanua tamko lake la kupiga marufuku uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dodoma na kusisitiza kuwa katazo la Mifuko ya …

Soma zaidi »

UHAMASISHAJI WA UTAFITI UTAWEZESHA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Tathimini za uwekezaji katika kutunza mazingira katika nchi ni moja ya kazi muhimu za Ofisi ya tathmini ya Baraza la Kituo cha Kimazingira Duniani (GEF) linalotoa taarifa na matokeo ya jumla ya miradi na utendaji katika ngazi ya kitaifa. Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) ambao ni …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …

Soma zaidi »

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA

Serikali imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia uratibu wa shughuli za mazingira na kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba ameyasema hayo hii leo …

Soma zaidi »