MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA 12 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA

MK 1-01
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Damas Ndumbaro wa kushoto akiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaojadili masuala mbalimbali kuhusu eneo huru la biashara Afrika (AFRICAN CONTINENTAL FREE TRADE AREA-AFCFTA) mkutano huo unaofanyika mjini Niamey Nchini Niger umefunguliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU Rais Abdel Fattah El Sisi wa Egypt.
MK 3-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Julai 07,2019 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaojadili masuala mbalimbali kuhusu eneo huru la biashara Afrika (AFRICAN CONTINENTAL FREE TRADE AREA-AFCFTA) mkutano huo unaofanyika mjini Niamey Nchini Niger umefunguliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU Rais Abdel Fattah El Sisi wa Egypt.
MK 2-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.