- Machi 28, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John pombe Magufuli amuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Pia Rais Dkt. Magufuli anapokea Ripoti ya Utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Inayowasilishwa na Kamishna Mkuu wa Taasisi hiyo Diwani Athuman. tukio hili linakujia moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
Ad