RAIS MAGUFULI AIKAGUA NDEGE ALIYOAGIZA IPAKWE RANGI HAPA HAPA NCHINI

TWIGA-1
Rais Dkt.John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa ikibeba viongozi ambayo itaanza kubeba abiria. Kazi hiyo imefanywa nchini na kugharimu Sh7 milioni, tofauti na gharama ya Sh160 milioni kama ingefanyika nje ya nchi.

RAIS

TWIGA-2

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *