LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477
Ndugu Wananchi na Ndugu Watanzania Wenzangu; Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza. Napenda, kwanza kabisa, kutumia fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wazee wetu wote, wakiongozwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kufanikisha …
Soma zaidi »LATE LIVE; RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA IKULU
RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR
LIVE; HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI MRADI WA UBIRESHAJI WA HUDUMA ZA MAJI SAFI WILAYANI ARUMERU MKOANI ARUSHA.
#SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA https://youtu.be/hA9LnUbjuE0
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA KWA PAMOJA MPAKANI NAMANGA
Kituo hicho ni miongoni mwa vituo 15 vya OSBP vinavyojengwa katika mipaka ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kurahisisha ufanyaji wa biashara miongoni mwa nchi hizo, kuharakisha huduma za mpakani, kuongeza mapato na kuimarisha usalama. Ujenzi wa kituo cha Namanga OSBP umefadhiliwa na Benki ya …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI NA UHURU KENYATA KUZINDUA KITUO CHA FORODHA CHA PAMOJA Disemba 1, 2018
Dkt John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata kesho wanatarajia kuzinduwa kituo cha Forodha cha pamoja Namanga One Stop Bonder Point.Aidha Disemba 2, mwaka huu Rais John Magufuli ataweka jiwe la Msingi la mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya sh bilioni 520 katika Jiji la Arusha na baadhi ya maeneo …
Soma zaidi »