Maktaba Kiungo: Tanzania Mpya

BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA YAAHIDI KUTOA FEDHA UJENZI WA RELI YA KISASA

Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Dkt. Admassu Tadesse ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa kutumia fedha zake za ndani na kuahidi kuwa Benki yake itafanya …

Soma zaidi »

TUTAFANYA MABADILIKO MAKUBWA KWENYE SEKTA YA KILIMO – WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa serikali YA Tanzania imejipanga kuikabili sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuona umuhimu wa kuwaandaa watanzania katika kubadilisha kilimo chao kutoka kwenye kilimo cha kujikimu na kuwa kilimo cha kibiashara. Waziri Hasunga ameyasema hayo leo tarehe 3 Septemba 2019 wakati …

Soma zaidi »

JICA NA AFDB WATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA UWEKEZAJI AFRIKA

Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Japani (JICA) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametia saini Marekebisho ya Makubaliano (Amendment of MoU) katika ushirikiano wao wa uwekezaji kwa pamoja barani Afrika. Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika,  Dkt. Akinwumi Adesina na Rais wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Agosti kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development-TICAD 7) utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Agosti 2019. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI: TUTAZIDI KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NA AFRIKA KUSINI

Rais Dkt. John Magufuli amesema Tanzania itazidi kufungua milango ya ushirikiano na Jamhuri ya Afrika Kusini na kuwataka Wafanyabiashara na Wawekezaji wa nchi hizo kutumia fursa za vivutio mbalimbali vilivyopo ili kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi wa Mataifa hayo. Akizungumza leo Alhamisi (Agosti 15, 2019) Ikulu Jijini Dar es …

Soma zaidi »