Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli pamoja na wasaidizi wake imeamua kufanya kazi kwa bidii sana kukuza uchumi wake. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati alipokutana na Viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Uganda katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort jijini …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU RAIS WA KENYA
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA UWASILISHWAJI WA MPANGO NA UKOMO WA BAJETI YA MWAKA 2019/20
WAZIRI BITEKO ATETA NA WENYE NIA YA KUWEKEZA NCHINI
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Rais wa Kampuni ya Amtec Resources Management Ltd ya nchini Uingereza, Dkt. Peter Gollmer ambaye amemweleza Waziri Biteko kuhusu ujio wa kampuni zipatazo 3 kutoka mataifa mbalimbali zenye nia ya kuwekeza katika sekta ya madini. Dkt. Gollmer amesema kampuni hizo zimeonesha nia ya …
Soma zaidi »SIMIYU KUPATA CHUPA MILIONI TATU ZA VIUDUDU KWA ZAO LA PAMBA
Mkoa wa Simiyu utapokea chupa milioni tatu za viuadudu katika msimu huu wa mwaka 2018/2019 lengo likiwa kukabiliana na changamoto ya wadudu waharibifu wa zao la hilo. Mkurugenzi Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omari Mgumba mkoani Simiyu …
Soma zaidi »BODI YA UTALII YAPOKEA WATALII 69 KUTOKA A.KUSINI WALIOKUJA KWA NJIA RELI YA TAZARA
LIVE CATCH UP : SHERRY PART IKULU JIJINI DSM. MACHI 08,2019
https://youtu.be/rvCu2hE3Isc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John pombe Magufuli ashiriki hafla maalum na Mabalozi wanaowaoziwakilisha Nchi Zao hapa Nchini na Viongozi wa Mashirika Mbalimbali .
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA
WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA TBS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kujionea utendaji kazi wa shirika hilo. Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara hiyo jana Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki, Waziri wa Afya, Maendeleo ya …
Soma zaidi »TANZANIA INASHIKA NAMBA MOJA KWA KUWA NA SIMBA WENGI BARANI AFRIKA
Yapongeza juhudi za Serikali katika kukomesha ujangili Yazishauri nchi za Afrika kulinda na kuhifadhi wanyamapori AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika. Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania …
Soma zaidi »