WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA UWASILISHWAJI WA MPANGO NA UKOMO WA BAJETI YA MWAKA 2019/20 Matokeo ChanyA+ March 12, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu Acha maoni 731 Imeonekana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019, kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai. Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020 na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest