Wauguzi wa hospitali hiyo wakiwa katika kikao cha asubuhi kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya utoaji huduma za afya.

WATALAAM KUTOKA MUHIMBILI WAWASILI LINDI KUTOA HUDUMA ZA AFYA

  • Madaktari Bingwa 11 pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wamewasili katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo sanjari na kuwajengea uwezo wataalam wa hospitali hiyo.

    Daktari Bingwa wa magonjwa ya kike na uzazi kutoka MNH Geofrey Marandu amesema lengo la ujio wao katika hospitali hiyo ni kuwaongezea ujuzi watalaam wa hospitali za rufaa za mikoa nchini kupitia madaktari bingwa wa Muhimbili lakini pia kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibiwa Muhimbili.

Madaktari Bingwa wa MNH
Madaktari Bingwa wa MNH pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Sokoine wakiwa katika kikao cha asubuhi cha kiutendaji kabla ya kuanza kutoa huduma.
  • ‘’Hospitali imeweka mkakati wa kuzitembelea hospitali mbalimbali za rufaa za mikoa nchini ili kushirikiana nao katika kutoa huduma za afya na kuwajengea uwezo , lakini pia kama Muhimbili tunatekeleza agizo la serikali linaloelekeza kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibwa nje ya nchi hatua ambayo tayari MNH inaitekeleza hivyo utoaji wa huduma za afya kwa njia ya mkoba utasaidia kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda Muhimbili endapo wangepewa rufaa ya kwenda kutibiwa huko’’.amesema Dkt. Marandu.

    Kwa upande wake Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine Dkt. Jumanne Shija amesema ujio wa watalaam wa afya wakiwemo Madaktari Bingwa utainufaisha hospitali hiyo kwakua watalaam wake watajengewa uwezo kiutendaji na kupata ujuzi wa kutosha.

Dokta Willybroad Massawe ambaye
Dokta Willybroad Massawe ambaye ni Dkt. wa upasuaji , pua , koo na masiko (kushoto) pamoja na muuguzi Monica Mngoya (kulia) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakimpatia maelezo mgonjwa ambaye amefika kwa ajili ya kupata huduma za afya.
  • Ametaja maeneo ambayo wataalam wa hospitali ya Sokoine watanufaika na kujengewa uwezo ni upasuaji, magonjwa ya kike na uzazi, meno, macho, watoto, magonjwa ya mfumo wa mkojo, magonjwa ya koo ,pua na masikio pamoja na masuala ya maabara.

    ‘’Hii ni neema imetufikia watu wa Lindi natoa wito kwa wananchi wa mkoa huu na wale wa maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kuja kupata huduma, madaktari bingwa wamekuja ni lazima tuwatumie ili na tunufake na huduma za kibingwa zitakazotolewa kwa kipindi cha wiki moja watakachokuwepo hapa ‘’. amesema Dkt.Shija.

Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Lindi
Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Lindi ambao wamejitokeza katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine wakisubiri kupatiwa huduma hii leo.
  • Kwa upande wao wananchi ambao wamejitokeza kupata huduma wameelezea kufurahishwa na ujio wa watalaam wa afya kutoka Muhimbili na kueleza kuwa ujio wao ni faraja kwa wananchi wa Lindi kwani watapata huduma za afya wakiwa katika maeneo yao na itawapunguzia gharama endapo wangepata rufaa kwenda Muhimbili kwakua ingewalazimu watumie gharama kubwa za usafiri na mahitaji mengine muhimu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

42 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Реальные анкеты элитные проститутки Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  3. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  4. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  5. The most important sports news https://bein-sport-egypt.com, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading leagues.

  6. News and events of the American Basketball League https://basketball-eg.com in Egypt. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  7. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  8. The story of how the incredibly talented footballer Riyad Mahrez https://alahli.riyad-mahrez-cz.com reached new heights in career, moving to Al Ahly and leading the team to victory.

  9. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  10. Witness the thrilling story of Jiri Prochazka’s https://ufc.jiri-prochazka-ufc.cz rapid rise to the top of the UFC’s light heavyweight division, marked by his dynamic fighting style and relentless determination.

  11. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-ar.com, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world on CS2 ar.

  12. Latest boxing news, achievements of Raisol Abbasov https://boxing-ar.com, Tyson Fury fights and much more. It’s all about the boxing ambassador.

  13. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  14. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  15. Find the latest information on Conor McGregor https://conor-mcgregor.uz news, fights, and interviews. Check out detailed articles and news about McGregor’s UFC career, wins, training, and personal life.

  16. A site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.uz, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  17. Pedri’s story https://barcelona.pedri-fr.com from his youth in the Canary Islands to becoming a world-class star in Barcelona, ??with international success and recognition.

  18. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  19. Neymar https://al-hilal.neymar-fr.com at Al-Hilal: his professionalism and talent inspire young people players, taking the club to new heights in Asian football.

  20. Novak Djokovic’s https://tennis.novak-djokovic-fr.biz journey from childhood to the top of world tennis: early years, first victories, dominance and influence on the sport.

  21. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  22. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  23. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  24. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  25. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  26. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  27. An exploration of the history of Turin’s https://turin.juventus-fr.org iconic football club – Juventus – its rivalries, success and influence on Italian football.

  28. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  29. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  30. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  31. Bruno Miguel Borges Fernandes https://manchester-united.brunofernandes-br.com was born on September 8, 1994 in Maia, Portugal.

  32. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  33. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  34. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  35. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  36. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/cars в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  37. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  38. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  39. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  40. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  41. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  42. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *