Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Profesa Mohammed Janabi,kulia wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya ufunguzi huo, na kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Dr. Mohammed Jidawi Mshauri wa Waziri Afya Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA CHAMA CHA WATAALAMU WA FIGO NCHINI

SISI-NI-TANZANIA-MPYA---263
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, leo 23/11/2018, na kuhudhuriwa na Wataalamu wa Maradhi ya Figo kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
WAZIRI wa Afya Zanzibar
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
baadhi ya madaktari
Baadhi Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Figo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano huo, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Kijarida cha Taasisi ya Moyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Kijarida cha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakati wa mkutano huo wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania,uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
SISI-NI-TANZANIA-MPYA---260
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania wakifuatilia Mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wanafunzi wa Chuo Cha Afya
Wanafunzi wa Chuo Cha Afya Zanzibar wakifuatilia Mkutano huo wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania wakati wa ufunguzi huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited ya Dar es Salaam,Ndg. Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Mashine ya kusafishia Figo, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resout Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kushoto Mwenyekiti wa NESOT. Dr. Onesmo Kisanga, wakati akitembelea maonesho hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamah Rashid Mohammed, wakimsikiliza Mtaalamu wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited Ndg. Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Dawa zinazotumika kwa Wagonjwa waradhi ya Figo wakati akitembelea monesho kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalam wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  amewaapisha viongozi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *