Baraza la Mawaziri wa Nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) Tanzania ikiwemo zimekubaliana kuwa nchi za ACP na Umoja wa Ulaya zifanye maridhiano katika maeneo yanayoonekana kuwa ni kikwazo kwa baadhi ya nchi hizo kutosaini mkataba wa EPA ama kuitekeleza. Azimio hilo la Baraza la Mawaziri wa Nchi za Afrika,Caribbean na …
Soma zaidi »WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI INASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA VIWANDA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inashiriki katika Maonesho ya Nne ya Viwanda yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Kupitia Maonesho hayo, Wananchi wanaelimishwa kuhusu majukumu ya Wizara na utekele zaji wake na namna wizara na balozi za Tanzania zinavyofanya kazi ya kuvutia …
Soma zaidi »TANZANIA NA NAMIBIA ZAJIDHATITI KUKUZA SEKTA YA BIASHARA
Serikali ya Tanzania na ya Namibia zajidhatiti kukuza na kuendeleza kiwango cha biashara na uchumi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kati ya mataifa hayo. Makubaliano hayo yamefikiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wizara …
Soma zaidi »MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE, MAWAZIRI WA ULINZI WA SADC WAKUTANA KUJADILI HALI YA AMANI DRC
Mawaziri wa Mambo ya nchi za Nje pamoja na Mawaziri wa Ulinzi na vyombo vya ulinzi vya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ijulikanao kama DOUBLE TROIKA wamekutana kwa dharura kujadili hali ya kisasa na amani katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuweka mikakati ya kuendelea kuimarisha amani …
Soma zaidi »SISI TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MARAFIKI WEMA.
Nchi za Nordic zina jumla ya watu milioni 27 tu, huku Pato lao kwa mwaka ni Dola za Marekani trilioni 1.7; (Dola za Marekani Bilioni 1700.) Tanzania ambao idadi ya watu ni milioni 55, mara mbili zaidi ya nchi za Nordic, Pato la Taifa kwa mwaka jana lilikuwa na thamani …
Soma zaidi »TANZANIA KUANZISHA KITUO CHA KIMATAIFA CHA USULUHISHI WA MIGOGORO YA KIBIASHARA
Tanzania na Taasisi ya ushauri wa kisheria ya Afrika (ALSF) iliyoko chini ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimekubaliana kuandaa mkakati maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum na ya haraka ya msaada wa kisheria kwa Ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa serikali (DPP) hususani katika kusimamia mashauri katika …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE NCHINI AZERBAIJAN
LIVE: KONGAMANO MAALUM:VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA HATMA YA MAENDELEO AFRIKA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni …
Soma zaidi »